Hosea 6:9

9 aKama wanyangʼanyi wamviziavyo mtu,
ndivyo magenge ya makuhani wafanyavyo;
wanaulia watu kwenye njia iendayo Shekemu,
wakifanya uhalifu wa aibu.
Copyright information for SwhNEN